Wachezaji Simba kujiunga na FC Porto Kilainii..



#FCPorto #SimbaSC #MoDewji

Mwekezaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Mo Dewji jana alipata fursa ya kuitembelea klabu ya FC Porto ya nchini Ureno na kupata nafasi ya kuzungumza juu ya kuanzisha mahusiano kati ya timu Simba na timu ya Porto kwa siku za mbeleni.
Mo ameahidi kuimarisha zaidi mazungumzo na mahusiano kwa faida ya Simba kwa siku za usoni.

Camisetas BUNDESLIGA Información corporativa y noticias relevantes sobre Driblab, la consultora especializada en análisis deportivos especializada en fútbol.

3 opiniones en “Wachezaji Simba kujiunga na FC Porto Kilainii..”

Comentarios cerrados.